ALZAM ORPHANAGE CENTER
REG: 129896, MOB:+255717655665,+255752156950,+255768993787 Dar es salaam-Tanzania
Sunday, 24 March 2019
Kua wa kwanza kurudisha tabasam la mtoto yatim, tabasam ambalo aliweza kulipoteza kwa kuondokewa na wazazi wake. hali ya kua aliamini kwamba wangeweza kumlea bila wasiwasi wowote wala mashaka yeyote, lakini ndoto zake zili potea gizani punde tu alipo kua pekeake na kujikuta ana kosa haki zake za msingi kwa ndugu jamaa na marafiki, ewe muungwana ungana nasi katika kuwalea watoto hawa kwa kuwapatia mambo mbalimbali ili nao waje kua watoto bora na mahiri ilimradi na wao pia waje kuwasaidia wenzao badae. #wanandoto shukra za dhati ziwaendee ndugu zetu walioko ufaransa wazazi wa Airon kwani mchango wenu ume weza tufanye mabadiriko tuna washukuru sana
Sunday, 10 March 2019
Al-zam orphanage Center our Motto Mkombozi na tabasam la mtoto yatima
Hivi ni baadhi ya Vitanda wanavyo lalia Watoto ila vipo vichache kwani wengine ikifika usiku wana lala chini hivyo ewe mdau ambae uta guswa na suala hili tafadhali tuna hitaji mssada wa nagodoro na Vitanda 25 Double deka ili hawa wengine wanao lala chini wafarijike.
kituo hiki kipo maeneo ya Mbagala Kichemchem mtaa wa kwa Gobwa tuna washukuru sana na pia karibuni sana muda wowote saa yeyote.
























