REG: 129896,
MOB:+255717655665,+255752156950,+255768993787
Dar es salaam-Tanzania
Thursday, 3 August 2017
POLE KWA KITUO CHA HIYARI ORPHANAGE
KITUO CHA ALZAM ORPHANAGE KINATOA POLE KWA MLEZI WA KITUO CHA HIYARI ORPHANAGE KWA MUSWIBA ULIOWAFIKA POLENI SANA .
WATOTO YATIMA NA WANAOTOKA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWA WANATAHAYARI BAADA YA SERIKALI KUTOA AMRI JENGO LA KITUO HICHO KUVUNJWA NA WATOTO WAKIWAMO WANAISHI HAPO
Location: Dar es salaam Tanzania, Mbagala Kichemchem, Tanzania
kituo hiki kilianzishwa mnamo mwaka 2009 kikiwa na watoto wapatao 5 na mpaka ifikiapo mnamo mwa 2012 kituo kili weza kua na idadi ya watoto 10 ilipo fika mwaka 2017/2018 kitu kili weza kufikisha watoto 45 hivyo ni miongoni mwa hatua tunazo zipiga na kujivunia
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home