Location: Dar es salaam Tanzania, Mbagala Kichemchem, Tanzania
kituo hiki kilianzishwa mnamo mwaka 2009 kikiwa na watoto wapatao 5 na mpaka ifikiapo mnamo mwa 2012 kituo kili weza kua na idadi ya watoto 10 ilipo fika mwaka 2017/2018 kitu kili weza kufikisha watoto 45 hivyo ni miongoni mwa hatua tunazo zipiga na kujivunia
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home