Monday, 11 September 2017

Hayo matenga muyaonayo hapo ni matenga ya nyanya ila kutokana na ubunifu tulip weza kufanya ili kuhidhi nguo za watoto kuto kuzagaa hivyo basi  ime tulazimu kuyafanya makabati kiukweli bado tuna hitaji support zenu ili tuweze kuwalea watoto hawa katika malezi bora kwa jukumu ni letu sote #wanandoto

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home